Posts

LAITI KAMA NINGEJUA

PART I Mzee yohana ni mzee mmoja katika mji wa runzewe mzee huyu amebahatika kupata mtoto mmoja aitwae Penina binti huyu kwa sababu ya kua mtoto pekee katika família ile alipendwa saana na wazazi wake na kila siku waliomba asije akajiunga na makundi mabovu ya vijana alimlea katika msingi ya dini saana na mzee huyu aliamini binti yake hawezi badilika baada ya kuhitimu Darasa la saba binti huyu alifaulu kujiunga na elimu ya sekondari kidato chá kwanza binti huyu wakati Huo ndo alikua anaanza kuingia utu uzima Yaaan kubarehe ndo kulikua kunaanza mtoto huyu alikua akisoma shule ya Day hapohapo runzewe sekondari Penina alikua ni mweupe kiasi maji ya kunde mrefu kidogo mwenye umbo na sura frani ya kuvutia kipindi kafika form 2 (kidato chá pili) alipata marafiki watatu yaani pili, janeti na Anita wakawa wanne mabinti hawa walipenda kutembea pamoja shuleni mpka mtaani ilipelekea kutambulishana katika familia zao wakawa kama ndugu wapendanao Na walijiita kundi lao jina lá UNSHAKABLE yaani h...

PENZI LA KISHIRIKINA

Katika kijiji cha mwalo kilichopo wilayani BUKOMBE mkoani geita tunakutana na mzee mmoja anae itwa mzee makele mzee huyu ni wa makomo amebahatika kupata watoto watano Yaani mbuke na wadogo zake wanne  binti huyu baada ya kuhitimu darasa la saba hakubahatika kuendlea na masomo ya sekondari akawa anawasaidia kazi za nyumbani wazazi wake ikiwemo kuchota maji kusenya kuni na kupikia familia yake Lakini pia katika kijiji hicho kulikua na mzee mwingine ajulikanae kama mzee simoni mzee huyu Ana watoto nane wawili wakiume na sita ni wakike katika familia hiyo kijana joshua alikua ndo kifungua mimba wa familia hiyo mzee huyu pia alikua mfugaji wa mifugo mbalimbali ikiwemo ng'ombe kondoo na mbuzi kijana joshua ndo alikua ukimsaidia babake kuwapeleka mifugo malishoni maisha yalikua yakiendlea kijana huyu alikua kahitimu darasa la saba Nae pia hakubahatika kuendlea na masomo ya sekondari     Kama ilivokua kawaida ya maisha yalivokua yakiendlea kila siku harakati za maisha zi...

DOGO JANJA BANANA MP4

MAKINI

MAAAJABU YA UWEZO WA MICHEAL JACKSON

Image
Michael Jackson - Beat It (Official Video) 4:59 · YouTube Beat It Song by Michael Jackson LYRICS Just beat it, beat it, beat it, beat it / No one wants to be defeated / Showin' how funky and strong is your fight / It doesn't matter who's wrong or right…  Full lyrics ARTIST Michael Jackson American singer-songwriter Album:  Thriller Released:  1982 Genre:  Pop Nominations:  Grammy Award for Song of the Year OTHER RECORDINGS OF THIS SONG Beat It Fall Out Boy  ·  2008 Beat It John 5  ·  2011 Beat It Alvin and the Chipmunks  ·  1993 More info PEOPLE ALSO SEARCH FOR Billie Jean Michael Jackson Man in the Mirror Michael Jackson Heal the World Michael Jackson They Don't Care About Us Michael Jackson The Way You Make Me Feel Michael Jackson Ear...

THE CRUCIAL KISS IMPORTANCE

Image
Skip to: Main Content Site Navigation Site footer Site Map Body and Soul   Share on Facebook Share via SMS Share on Facebook Messenger Share via Email SEX RELATIONSHIPS RELATIONSHIPS How important is kissing to a relationship? Source:bodyandsoul.com.au Dr Gabrielle Morrissey bodyandsoul.com.au (Q): My wife and I have been married for just going on 10 years and she still says she needs passionate kissing almost every day. And when we make love she says she can’t get turned on unless we kiss (for what seems like ages to me). It’s not that I don’t like kissing, I do, but I don’t need as much of it as my wife does and I sometimes find it a bit tedious – sorry if that sounds awful or selfish, but I do get a bit bored of all the kissing. (A): Kissing is a cross-cultural foundation of romantic relationships and has been throughout the ages. It’s a fundamental expression of desir...