LAITI KAMA NINGEJUA
PART I
Mzee yohana ni mzee mmoja katika mji wa runzewe mzee huyu amebahatika kupata mtoto mmoja aitwae Penina binti huyu kwa sababu ya kua mtoto pekee katika família ile alipendwa saana na wazazi wake na kila siku waliomba asije akajiunga na makundi mabovu ya vijana alimlea katika msingi ya dini saana na mzee huyu aliamini binti yake hawezi badilika baada ya kuhitimu Darasa la saba binti huyu alifaulu kujiunga na elimu ya sekondari kidato chá kwanza binti huyu wakati Huo ndo alikua anaanza kuingia utu uzima Yaaan kubarehe ndo kulikua kunaanza mtoto huyu alikua akisoma shule ya Day hapohapo runzewe sekondari
Penina alikua ni mweupe kiasi maji ya kunde mrefu kidogo mwenye umbo na sura frani ya kuvutia kipindi kafika form 2 (kidato chá pili) alipata marafiki watatu yaani pili, janeti na Anita wakawa wanne mabinti hawa walipenda kutembea pamoja shuleni mpka mtaani ilipelekea kutambulishana katika familia zao wakawa kama ndugu wapendanao Na walijiita kundi lao jina lá UNSHAKABLE yaani hawababaishwi Na hawayumbi wapo kamili saana
Mpenzi msomaji kama maandiko yanavosema kila kwenye jema shetani hupita kati ya hao mabinti janeti alijikuta kapendwa saana na kijana athumani kila siku alikua akimwandikia barua za mapenzi kama unavojua mpenzi msomaji mapenzi yanavowafanyaga watu kuwa mazezeta wasio na ujasili janet alikua akichukia saana hii hali kwani hakupenda Na ukizingatia bado vjana wadogo ndo wanachipuka siku moja kijana athumani alijikakamua akawa amejikaza kwa nguvu zote alimtokea binti yule akaanza kumwambia ya moyoni alimuomba saana walau amsikilize Janet aligoma akisema niache lakin athumani Aliendlea kumsihi akamwambia kubali wito kataa maneno naomba unisikilize tu tafadhari janeth alisikiliza ilikua jioni wamerudi kwenye mchezo shuleni kijana alimwambia Janeti darasa lote Na shule yote hii nmeangalia kote bado sijaona binti wa pekee kama wewe We ndo binti wa pekee niliemuona anafaa saana unakila sifa ya kupendwa unavonitazama mwenzio hua naishiwaga pozi kiukweli umenimaliza please tafadhari naomba uwe mtu wangu wa Karibu sitokutenda Na naahidi nitakupenda kwa dhati saana binti akaondoka kwa hasira tena koma kabisa niache Et unanipenda??? me ananipenda mamangu ukirudia ntakusema kwa mwalimu akaondoka Usiku akiwa amelala Kamaliza kujisomea Na wenzake Kumbe maneno Yale yalianza kumwingia taraaatibu wakiwa darasani wote waliishi kuangaliana tu kwa kuoteana (yaani kwa uoga saana) siku moja binti ulimshinda uvumilivu baada ya kumuona athumani hana raha kila siku tangu amkaripie hakupenda hiyo hali kwani athumani alikua muongeaji saana ile hali ya ukimya alijua chanzo ni yeye alimfuata athumani ulikua Mda Wa mapumziko alimuita akamwambia jioni ntakupa jibu athumani alionekana mtu mwenye mawazo saana na alikua ni mwenye kukumbuka majibu aliyo pewa siku ile akajiuliza kunajibu gani lingine akawa anatamani ifike jioni walau asikie nikipi ataambiwa Janet alimkuta akiwa darani peke yake alimpa kikaratasi chenye maandishi kijana alikiweka mfukoni Alitamani saana kujuakilichomo ndani alienda chooni na kwenda kukisoma kilikua kieandikwa NMEKELEWA OMBI LAKO Í LOVE YOU kijana alifurahi saana baada ya kutambua kuwa binti amemuelewa lakin alikua haamini alichoambiwa fraha ilimjaa saana janeth alikua akifanya haya akiwa anawaficha wenzake kutokana na kundi lao lilivokua likiitwa UNSHAKABLE watu wenye msimamo alijikuta ameshaki siku moja jioni alikutana na athumani katika uchochoro athumani alimuita janeth kwa sauti ndogo janeth alisikia akawa amesogea baada ya kujua ni athumani walikaribiana DISTANCE ZERO wakaaanza kukisiana (kupigana mabusu) kupeana juisi ya mahaba matachi walienjoy saana kwa muda ule wote wakawa na hamasa ya kufanya mapenzi wakapeana ahadi ya kupeana utamu wakapanga Juma pili jioni kidogo binti alidai anawahi nyumbani waliagana kwa kupigana Kiss nzito mashavuni Ambayo ilimfanya kila mtu ajikute anahisi kasafiri kimawazo mbali saana binti akaondoka waliachana baada ya muda frani janeth Usiku Huo wakiwa wanasoma na wenzake uvumilivu ulimshinda kwani alikua na raha saana kafanyiwa kitu ambacho hajawahi fanyiwa mwilini mwake ndo mara ya kwanza imetokea ilikua raha saana kama unavojua raha ile ilivo kwa alianza kuwapa Stori Juu ya athumani jinsi walivo anza mambo yote alieleza mpka kilicho fanyika siku hiyo uchochoroni pale walijikuta wote wakiwa na hamu ya kuwa na maboy friends athumani kesho yake alimletea alimletea zawadi ya Saa nzuri yenye umbo la moyo mpenzi wake hapo ndipo mchezo ulipo anzia kwa watoto wale kwani aliwalingishia saana akimwambia Jamani kapendwa raha kama walivyo mabinti wote mambo yao ya kulingishiana ndo kilicho kua kikifanyika kwa janeth Na wenzake alimwambia Jamani mjue hii dunia kunamambo mengi saana mazuri Ambayo hamuyajui Jamani ningeweza ningewapa hata robô ya raha yake mkaonja tu mngenielewa
Tamaa ikawajaa wote watatu na kumuonea wivu RAFIKI Yao jinsi alivowasimulia kati yake yeye na athumani na wanavoona kinachoendelea darasani na athumani
JE NIKIPI KITAENDELEA????
USIKOSE PART 2
CONT 0U58258333/0624154934
MOVIES, SCRIPT&STORY
UTAZIPATA
Comments
Post a Comment