PENZI LA KISHIRIKINA
Katika kijiji cha mwalo kilichopo wilayani BUKOMBE mkoani geita tunakutana na mzee mmoja anae itwa mzee makele mzee huyu ni wa makomo amebahatika kupata watoto watano Yaani mbuke na wadogo zake wanne binti huyu baada ya kuhitimu darasa la saba hakubahatika kuendlea na masomo ya sekondari akawa anawasaidia kazi za nyumbani wazazi wake ikiwemo kuchota maji kusenya kuni na kupikia familia yake
Lakini pia katika kijiji hicho kulikua na mzee mwingine ajulikanae kama mzee simoni mzee huyu Ana watoto nane wawili wakiume na sita ni wakike katika familia hiyo kijana joshua alikua ndo kifungua mimba wa familia hiyo mzee huyu pia alikua mfugaji wa mifugo mbalimbali ikiwemo ng'ombe kondoo na mbuzi kijana joshua ndo alikua ukimsaidia babake kuwapeleka mifugo malishoni maisha yalikua yakiendlea kijana huyu alikua kahitimu darasa la saba Nae pia hakubahatika kuendlea na masomo ya sekondari
Kama ilivokua kawaida ya maisha yalivokua yakiendlea kila siku harakati za maisha ziliendelea siku moja kijana akiwa machungani akiwa ametulia aliona kwa mbali binti mmoja akiwa anasenya kuni haikua kawaida kuona mtu porini tena binti peke yake joshua aliongea moyoni Ngoja nikamuone ni nani alianza kusogea mpka binti alipo kua alimwangalia binti yule alivokua ameumbika saaana alikua ni mweusi frani wa kati ngozi yake yenye kuteleza kifua chake kulikua kimesimama misili ya tai mapacha warukao pamoja ama nimfano wa katani zinavosimamaga chonjo kiuno chake kikiwa kimefungwa kanga kijana joshua alijiuliza saana kibwebwe kilikua kimeshiba si haba alijikuta akipigwa na butwaa kwa vile binti alivokua kwa mwanaume yeyote mwenye hisia lazima angevutia kwani alikua anaasili ya rwanda kapanda hewani si mchezo kama unavowajua wanyarwanda walivo.
Joshua ikabidi ajikaze akamsemesha habari?? Kwa kiruga (ulimhala)
Binti alijibu kwa kuogopa shida yako nini akiwa kapaniki
Joshua akamwambia naweza kukusaidia binti alisema acha tu ntafanya mwenyewe hujanileta apa nmekuja mwenyewe
Joshua alimuuliza nimekosea nini kwani mbona hasira??
Mbiti alikaa kimyaa akakusanya kuni akawa anazfunga akajitwisha akaanza kwenda nyumbani joshua alimwangalia saaNa sababu alikua ni mwenye kuvutia saana akawaza moyoni nisamehe bure
Katika kijiji hicho wawili hao walikua hawajuani kutokana na nyumba za vijini kuwa mbalimbali hawakujuana sababu hata shule hawakusoma pamoja ilikua ni ngumu saaana
Muda ulifika wa kwenda nyumbani kijana huyu alipeleka ng'ombe kunywa maji na kuwarudisha nyumbani akiwa nyumbani alimfikiria saana binti yule
Usiku ule mbuke nae alijawa Na mawazo mengi yalikua ni juuu ya alicho mjibu joshua porini aliyakumbuka Yale maswali ali ti youlizwa Na kijana yule na alichomjibu akaona haikua sahihi kabisa akawaza kosa alilokosea kijana yule akaona halipo akajisemea moyoni nisamehe binti yule alikua akifikilia saana alicho kijibu mchana Alitamani walau iwe asubuhi aende polini akamtafute joshua aweze muomba msamaha asubuhi ilifika kama ilivo desturi yao wote kila mtu Na harakati zake joshua alienda porini kupeleka mifugo marishoni alikua ni mwenye mawazo saaana akiwa porini aliyakumbuka Yale maneno aloambiwa Na yule binti jana yake akiwa amekaa alimuona tena yule binti akikusanya kuni mbuke alipo muona joshua alimwangalia kwa kuogopa joshua alimsogelea na mazngumzo yalikua hivi joshua habari
Mbuke njema
Joshua wazima nyumbani
Mbuke njema tu
Joshua ghafura alijawa Na hofu moyoni mwake akaanza kuwatoa mifugo wake kwenye lile eneo alijua maswali Yale yanamuudhi binti yule mbuke alijiskia vibaya saana sababu kama ni maswali yake ameyajibu vizuri mbona ameondoka tena tatizo nini binti alijiuliza saana Tatzo nini Juu yangu Mbna kaondoka??? Binti alikusanya kuni na kurudi nyumbani kuandaa chakula kwa wadogo zake joshua nae baada ya muda kufika alipeleka ng'ombe kunywa maji na kuwarudisha nyumbani akiwa nyumbani alikua akiwaza Juu ya yule binti lakini alianza kufikiria alivomjibu yule binti alijilaumu saana kwanini hakumwambia ya moyoni wakati alikua akijibu vizuri hakua na jibu alimfikiria saaana wakati Huo mbuke nae alikua akiwaza kosa lake akagundua kua yamkini siku ile alikosea siku ile kutomjibu alijisemea nisamehe bure
Siku moja wawili hawa walikutana njiani ilikua siku ya jumapili jioni walipishana njiani joshua akiwa anatoka sokoni na mbuke akiwa anaenda sokoni walitazamana kwa macho ya wizi kila mmoja akiwa na hamu moyoni na mwenzake kumanisha walikua tayari washaanza kupendana joshua akawa akijiuliza nimfuatilie walau nimuongeleshe tu mdogomdogo akamfuatilia mbuke mpka sokoni mbuke akahemea nyanya mboga za majani (mchicha) akaanza kwenda nyumbani joshua alimwangalia saaNa akaanza kurudi nyumbani joshua akawa anamfuatilia kwa nyuma huku akimuita msichana ili aweze kumweleza japo maneno mawili mbuke Aliendlea kutembea kuelekea nyumbani joshua alixema kwa nguvu ni mimi nisubili tafadhari naomba binti aligeuka nyuma akamuona joshua alipunguza mwendo joshua aliwahi akampata mbuke alianza kuongea kwa presha kubwa mapigo ta moyo yakiwa speed samahani wakati Huo mbuke anazidi tembea naomba samahani kukuita msichana najua unajina lako naomba unitajie Mimi naitwa joshua kijana wa makele tafadhari binti aliongea kwa haraka naitwa mbuke na Hapa ndo kwetu akaongeza mwendo kukata kona Na kuelekea nyumbani joshua alijisemea moyoni ahsante walau nmekufahamu tu inatosha siku iliyofuata walibahatika kukutana tena porini kila mmoja akiwa na hamu moyoni na mwenzake walau kuzungumza tu mpenzi msomaji kama unavoyajua mapenzi yanavo wafanyaga watu mioyo yao ikisha anza kupendana joshua akawa anasogea eneo alilokuwepo mbuke akaongea kwambali habari mbuke salama tu joshua nyumbani wazima mbuke alijibu Wa afyaa joshua akaanza kujing'atang'ata kama ilivo kwa mtu yeyote ukimpenda unavoishiwaga pozi ilikua hivyo hvyo kwa joshua alijikuta tu akamwambia wewe ni mzuri saana tangu nlipokua nakuona mara ya kwanza moyo wangu ulizungumza saana Juu yako pia sura yako imekua ukijirudiarudia moyoni mwangu Namanisha nakupend saana wakati kijana joshua anaongea haya binti mbuke alikua akikwaruza kuni chini akamwambia unatesa moyo wangu saana naomba tuwe marafiki umenelewa????? Mbuke kama walivo wasichana wengine alijisemea moyoni Mmmmmh akamjibu joshua huku akiwa anaogopa saaana kumwangalia usoni muda umeisha nachelewa kwenda kumsaidia mama kupika akasema ntakujibu siku nyingine binti yule alichukua kuni zake akaanza kwenda nyumbani huku akiwaza joshua hata mimi pia nakupenda lakini nashindwa kukwambia ntaonekana MALAYA alijisemea akiwa anaenda nyumbani zikapita siku tatu bila ya wawili hawa kukutana kila mmoja alikua akiwaza Juu ya mwenzake ni kipi alichokua akimuwazia
Siku moja wawili hawa walikutana porini kila mtu akiwa na harakati zake kama ilivo desturi yao wote kila mmoja alikua mkimya mapigo ya moyo yakimuenda mbio saana baada ya kuonana.....................!!!!!!!!!!! toa maoni yako
ITAENDELEA
Kwa MOVIER STORY
Script
Na NYIMBO
Na Stori nzuri
Tunauza tupo mwanza
Mawa 0758258333/0624154934
Comments
Post a Comment