KIVUKO CHA MV NYERERE CHAZAMA Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukala katika ziwa Victoria kimezama muda huu, huku taarifa za idadi ya watu waliokuwemo ndani ya kivuko hicho hazijajulikana. Taarifa kamili itakuja hivi punde
Comments
Post a Comment