PART I Mzee yohana ni mzee mmoja katika mji wa runzewe mzee huyu amebahatika kupata mtoto mmoja aitwae Penina binti huyu kwa sababu ya kua mtoto pekee katika família ile alipendwa saana na wazazi wake na kila siku waliomba asije akajiunga na makundi mabovu ya vijana alimlea katika msingi ya dini saana na mzee huyu aliamini binti yake hawezi badilika baada ya kuhitimu Darasa la saba binti huyu alifaulu kujiunga na elimu ya sekondari kidato chá kwanza binti huyu wakati Huo ndo alikua anaanza kuingia utu uzima Yaaan kubarehe ndo kulikua kunaanza mtoto huyu alikua akisoma shule ya Day hapohapo runzewe sekondari Penina alikua ni mweupe kiasi maji ya kunde mrefu kidogo mwenye umbo na sura frani ya kuvutia kipindi kafika form 2 (kidato chá pili) alipata marafiki watatu yaani pili, janeti na Anita wakawa wanne mabinti hawa walipenda kutembea pamoja shuleni mpka mtaani ilipelekea kutambulishana katika familia zao wakawa kama ndugu wapendanao Na walijiita kundi lao jina lá UNSHAKABLE yaani h...