WATOTO WA DIGITALI


BAADA YA BABA KUFIKA NYUMBANI
MTOTO shikamo dad
BABA    marahaba hujambo mwanangu
MTOTO sijambo dad
BABA    mbona unahuzuni saana
MTOTO umenichelewesha kuangalia                       TV nilikuwepo nawaza
BABA nisamehe mwanang njoo                              nikuwashie uangalie
           Chanel yako kama kawaida
MTOTO mbona umeweka katuni???
BABA ndo unazopendaga tom Na jelly
MTOTO mi sitaki muda huu niwekee                      SIRI ZA FAMILIA
BABA unasemaje?? UNAFAMILIA wwe tena nazima kacheze uko PUMBAVU 😂😂😂😂😂😂😂

Comments

Popular posts from this blog

IN THE BEDROOM