BIKIRAMIAKA 25 BILA KUFANYA MAPENZI Kijana bikira Wa kiume alipitia mengi saaana ngumu utangulizi Katika tasinia yA vijana saivi tumekua na kundi kubwa lรก vijana ambalo limeonekana kujihusisha saana na mapenzi wengine wakiwa wadogo lakn wanafanya sababu ya utandawazi na vitu vingine lakin twende SAWA katika SIMULIZI hii tumkute kijana alieweza kushinda vishawishi mpka kufika umri Wa miaka 25 bila kufanya mapenzi Twende Sawa BAADA YA KUHITIMU darasa la saba kijana Michael alifanikiwa kujiunga Na shule moja iliokua katika kijiji chao kiitwacho mjimwema kijana huyu Aliendlea na masomo yake ya sekondari walikutana wanafunzi wengi kutoka shule za msingi mbalimbali kijana huyu alikua mkubwa sababu alichelewa kuingia darasa la kwanza alikua na miaka 16 kipindi alipokua form 1 katika shule hiyo haikua yA bweni wanafunzi walilazimika kupanga nyumba za kuishi Karibu na eneo lรก shule (gueto) Michael nae alikua akiishi nyumbani kwao masomo yakaanza muda Ulivokua ukienda walizidi kuzoeana na...