TANZANIA MUSIC BLOG,ENTERTAINMENT,NEW BONGOFLAVA, MUSIC FROM EAST AFRICA, NGOMA ZOTE ZA AFRICA ZIPO HAPA NA HABARI ZA DUNIA KWA DJ LUDAX NYIMBO PIA TUNAWEKA KWA MUSSIC PROMO naweka ngoma kwa ELF TANO...5 CALL ME number +255 758 258 333
PHYSICS lacture energy in the capacitor
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
-
For more explaination on the energy in capacitor click the vídeo above and for more derivations of formula bê with us
Katika kijiji cha mwalo kilichopo wilayani BUKOMBE mkoani geita tunakutana na mzee mmoja anae itwa mzee makele mzee huyu ni wa makomo amebahatika kupata watoto watano Yaani mbuke na wadogo zake wanne binti huyu baada ya kuhitimu darasa la saba hakubahatika kuendlea na masomo ya sekondari akawa anawasaidia kazi za nyumbani wazazi wake ikiwemo kuchota maji kusenya kuni na kupikia familia yake Lakini pia katika kijiji hicho kulikua na mzee mwingine ajulikanae kama mzee simoni mzee huyu Ana watoto nane wawili wakiume na sita ni wakike katika familia hiyo kijana joshua alikua ndo kifungua mimba wa familia hiyo mzee huyu pia alikua mfugaji wa mifugo mbalimbali ikiwemo ng'ombe kondoo na mbuzi kijana joshua ndo alikua ukimsaidia babake kuwapeleka mifugo malishoni maisha yalikua yakiendlea kijana huyu alikua kahitimu darasa la saba Nae pia hakubahatika kuendlea na masomo ya sekondari Kama ilivokua kawaida ya maisha yalivokua yakiendlea kila siku harakati za maisha zi...
BAADA YA BABA KUFIKA NYUMBANI MTOTO shikamo dad BABA marahaba hujambo mwanangu MTOTO sijambo dad BABA mbona unahuzuni saana MTOTO umenichelewesha kuangalia TV nilikuwepo nawaza BABA nisamehe mwanang njoo nikuwashie uangalie Chanel yako kama kawaida MTOTO mbona umeweka katuni??? BABA ndo unazopendaga tom Na jelly MTOTO mi sitaki muda huu niwekee SIRI ZA FAMILIA BABA unasemaje?? UNAFAMILIA wwe tena nazima kacheze uko PUMBAVU 😂😂😂😂😂😂😂
KIVUKO CHA MV NYERERE CHAZAMA Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukala katika ziwa Victoria kimezama muda huu, huku taarifa za idadi ya watu waliokuwemo ndani ya kivuko hicho hazijajulikana. Taarifa kamili itakuja hivi punde
Comments
Post a Comment