PENZI LA KISHIRIKINA
Katika kijiji cha mwalo kilichopo wilayani BUKOMBE mkoani geita tunakutana na mzee mmoja anae itwa mzee makele mzee huyu ni wa makomo amebahatika kupata watoto watano Yaani mbuke na wadogo zake wanne binti huyu baada ya kuhitimu darasa la saba hakubahatika kuendlea na masomo ya sekondari akawa anawasaidia kazi za nyumbani wazazi wake ikiwemo kuchota maji kusenya kuni na kupikia familia yake Lakini pia katika kijiji hicho kulikua na mzee mwingine ajulikanae kama mzee simoni mzee huyu Ana watoto nane wawili wakiume na sita ni wakike katika familia hiyo kijana joshua alikua ndo kifungua mimba wa familia hiyo mzee huyu pia alikua mfugaji wa mifugo mbalimbali ikiwemo ng'ombe kondoo na mbuzi kijana joshua ndo alikua ukimsaidia babake kuwapeleka mifugo malishoni maisha yalikua yakiendlea kijana huyu alikua kahitimu darasa la saba Nae pia hakubahatika kuendlea na masomo ya sekondari Kama ilivokua kawaida ya maisha yalivokua yakiendlea kila siku harakati za maisha zi...


Comments
Post a Comment